Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ndugu lengo ndio muhim.kwenye kiswahili neno "rafiki" uchumba" haya ni maneno tofauti sana rafiki hawezi kuwa mke ila mchumba ana weza kuwa mke au mme,Mara nyingi nimeona thread zimeandikwa natafuta mchumba/mke/mume.
Swali langu ni je mchumba,mume,mke ndio unaoanza au ni urafiki maana nijuavyo mimi ni lazima muanzie kwenye urafiki ndio mhamie kwenye uchumba n.k je niko sahihi au la