Naomba kujuzwa

Queen Kan

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
5,226
Reaction score
8,961
.....habari, naomba kujuzwa muda muafaka wa mama mjamzito kuanza kuhudhuria clinic...
na juu ya taarifa zote zinazohusiana na ujauzito.
 
Hakuna muda maalumu. wapo watu wanasema miezi 6 lakini mimi nakushauri uanze as soon as possible, ukijigundua tu mjamzito anza clinik kwasababu hakuna unacholoose ukianza. kama kuna tatizo litagundulika mapema na kufanyiwa uvumbuzi, hii itakuweka wewe katika nafasi nzuri za kujIfungua mtoto salama mwenye afya na wewe mwenyewe kuwa salama. ujauzito unamambo mengi mdogo wangu usidharau nenda kaanze clinik. unaweza ukajiona sawa kumbe mimba imetunga nje ya mji wa mimba, unaweza ukawa na upungufu wa damu au madini joto. ukianza clinic vitajulikana na kupatiwa ufumbuzi.. KILA LA KHERI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…