habar polen na majukumu ya hapa na pale, mimi nina shida jaman naomba kujuzwa na hii hali ni ya kawaida au la, nimeanza kuona cku date 3 mzunguko wangu ni 27 na 29 sasa toka nianze bleed leo ni cku ya kumi na nane toka cku ya kumi na sita mpaka leo maziwa yanauma na yanajaa kias kwamba nikiinama yanauma sasa itakuwa ni pm au nn msaada wenu jaman naomba mawazo yenu plzzzz