Naomba kukaribia jamvini kwa wakuu wangu.

H1N1

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2009
Posts
4,217
Reaction score
1,579
Naomba kukaribishwa jamvini ili nami niweze shiriki kusoma na kuchangia hoja zilizokwenda shule ndani ya jamiiforums.
Nahisi kukosa uhondo uhondo mwingi kwa kuwa mtazamaji pasipo kuwa mchangiaji.
Muda umewadia nami nimejiunga rasmi mchana huu.naomba mnipokee
 
Aisee karibu sana ndani ya nyumba. By the way, hilo jina lako mmh... inabidi ulutafutie avatar muafaka-joke!
 
You are most welcome mheshimiwa.
Hapa ndo JF bana!
Hatufichi kitu kama ambavyo 'motto' yetu inasema.
So feel at home.
 

Karibu sana ndugu, bila shaka strain yako itakuwa na manufaa kwa jamvi hili.
 
Karibu Bwana Mafua ya Nguruwe kama ulivyo kirusi busara zako zitapakae kwa wana jamvi wote tena kutoka kwake iwe ni vigumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…