Naomba Kukaribishwa JamiiForums

Naomba Kukaribishwa JamiiForums

J wizzy

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
459
Reaction score
536
Habari wana jamvi..
Km kichwa kinavyojieleza apo juu,nimekua mfuatiliaj wa mda mrefu juu ya mijadala mbali mbali,hivyo nimeona nami nijiunge nanyi ili nipate kuelimika na mambo mengi yanayojiri duniani.jinsia yng ni ME,hivyo naomben mnipokee ndg zang.
Nawasilisha..
 
Wakaribishwa sana..
 
Ila umekosea Jukwaa. Pia huku huna ndugu. Tumia neno "Mkuu".
 
Karibu Bwana mdogo, humu kila mtu amesoma, kila mtu ni mchumi, kila mtu ni mchambuzi wa siasa, kila mtu ana mafanikio, kila ana gari n.k

Chukua mazuri yetu, mabaya yetu tuachie.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kasoro mimi tu..[emoji86] [emoji86] [emoji86]
 
Asante sna Mkuu ntaufanyia kazi ushauri wko
 
sheikh karibu sana humu ndanii,sisi hatupokei mkono wa mnafiki hata kama ni mkuu wa wakuu atii
 
Back
Top Bottom