Wakaribishwa sana..Habari wana jamvi..
Km kichwa kinavyojieleza apo juu,nimekua mfuatiliaj wa mda mrefu juu ya mijadala mbali mbali,hivyo nimeona nami nijiunge nanyi ili nipate kuelimika na mambo mengi yanayojiri duniani.jinsia yng ni ME,hivyo naomben mnipokee ndg zang.
Nawasilisha..
Asante mkuu!Ila umekosea Jukwaa. Pia huku huna ndugu. Tumia neno "Mkuu".
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Karibu Bwana mdogo, humu kila mtu amesoma, kila mtu ni mchumi, kila mtu ni mchambuzi wa siasa, kila mtu ana mafanikio, kila ana gari n.k
Chukua mazuri yetu, mabaya yetu tuachie.
Pia hakuna ambaye ajasoma humu hahaaa..Karibu Bwana mdogo, humu kila mtu amesoma, kila mtu ni mchumi, kila mtu ni mchambuzi wa siasa, kila mtu ana mafanikio, kila ana gari n.k
Chukua mazuri yetu, mabaya yetu tuachie.
Kesho nakuja Mpanda Katavi Mkuu.Karibu sana