Naomba kukaribishwa jamvini

call me T

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2015
Posts
291
Reaction score
391
Nimejiunga na Jf tangu 2015 nmesoma na kulitia mengi humu sasa najiona niefuzu kabisa kuwa miongoni mwenu naomba ushirikiao wenu
 
Karibu sana.
Ndo wewe huyo mkuu?
 
Nikiona wanaume ambao hawana ndevu huwa najua moja kwa moja wana tabia za KIKE.
 
ww ni me au ke..[emoji127]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…