AmeeeennnnnnnnBwana Yesu asifiwe wana wa Mungu. Tumsifu Yesu Kristo. Mwana kondoo ameshinda. Asalaam alequ.
Naomba mnipokee mdogo wenu.[emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
karibu Sana mdogo wetu one one jiskie upo nyumbani ukipata tatizo Ni PM me ndo problem solver wa humu 😂👏Bwana Yesu asifiwe wana wa Mungu. Tumsifu Yesu Kristo. Mwana kondoo ameshinda. Asalaam alequ.
Naomba mnipokee mdogo wenu.[emoji40]
Sent using Jamii Forums mobile app
😎😎karibu Sana mdogo wetu one one jiskie upo nyumbani ukipata tatizo Ni PM me ndo problem solver wa humu 😂👏
karibisha mgeni huko😶
Ninao wivu!karibisha mgeni huko😶
😅😅kwanini RafikiNinao wivu!
Problem solver ila yangu hauyatatui why..?😅😅kwanini Rafiki
😳😳🤷Problem solver ila yangu hauyatatui why..?
Usijifanye hujui unaelewa kule chumbani ulichokifanya!😭
🤣😂😅😂😅Aisee Mimi uyoo ngoja nikapaangalie Kwanza usiende kunisemea Kwanza🙌Usijifanye hujui unaelewa kule chumbani ulichokifanya!😭
Vigezo na nasharti nimezingatia. Afya ndo kila kitu.Umevaa barakoa au unataka kutuletea corona ndani humu.
Karibu sana nawa mikono kwanza
[emoji41][emoji40]karibu Sana mdogo wetu one one jiskie upo nyumbani ukipata tatizo Ni PM me ndo problem solver wa humu [emoji23][emoji122]