Naomba kukopeshwa polytank 10,000 tatu nilipe 50%, 50% nyingine baada ya miezi 3 baa

Naomba kukopeshwa polytank 10,000 tatu nilipe 50%, 50% nyingine baada ya miezi 3 baa

DaPilly

Senior Member
Joined
Mar 2, 2012
Posts
181
Reaction score
68
Habari wana jamii, naomba kama nitafanikiwa kupata agent au mfanyabiashara yeyote wa taski za maji (preferably Polytank) anikopeshe nilipe 50% mwanzo, kisha 50% inayobaki nilipe ndani ya miezi 3.
Asanteni.
 
Una niashara ya maji?
Wanaokopesha ni wengi. Vibao vya mikopo viko kila kona. Gonga.ingia.wape shida yako.
 
Back
Top Bottom