D DaPilly Senior Member Joined Mar 2, 2012 Posts 181 Reaction score 68 Jan 6, 2014 #1 Habari wana jamii, naomba kama nitafanikiwa kupata agent au mfanyabiashara yeyote wa taski za maji (preferably Polytank) anikopeshe nilipe 50% mwanzo, kisha 50% inayobaki nilipe ndani ya miezi 3. Asanteni.
Habari wana jamii, naomba kama nitafanikiwa kupata agent au mfanyabiashara yeyote wa taski za maji (preferably Polytank) anikopeshe nilipe 50% mwanzo, kisha 50% inayobaki nilipe ndani ya miezi 3. Asanteni.
CYBERTEQ JF-Expert Member Joined Feb 11, 2012 Posts 7,341 Reaction score 4,067 Jan 6, 2014 #2 Nenda kkoo mama.
maringeni JF-Expert Member Joined Oct 8, 2013 Posts 3,197 Reaction score 3,896 Jan 6, 2014 #3 Una niashara ya maji? Wanaokopesha ni wengi. Vibao vya mikopo viko kila kona. Gonga.ingia.wape shida yako.
Una niashara ya maji? Wanaokopesha ni wengi. Vibao vya mikopo viko kila kona. Gonga.ingia.wape shida yako.