Naomba kukutana na muwekezaji au mbia ambaye yupo tayari kuwekeza

Naomba kukutana na muwekezaji au mbia ambaye yupo tayari kuwekeza

kinudy

Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
25
Reaction score
1
MIMI NI MDAU WA JUKWAA HILI NIMEJARIBU SANA KUANGALIA WADAU WENZANGU WENGI WANAPENDA KUWEKEZA LAKINI WANAOGOPA, MI NINGEPENDA NIWASHAURI AU KU SHARE NANYI MIMI NIME FANIKIWA KUANZISHA KAMPUNI YA TOURS ( UTALII) INAFANYA KAZI ZOTE UTALII WANDANI HATA ULE WA NJE,JAPO KUWA KIUKWELI KUNA CHANGAMOTO SANA HASA KATIKA KUPATA WATEJA,PAMOJA NA HAYO KUNA SEHEMU NILIZO FANIKIWA NA KUNA SEHEMU AMBAZO NAHITAJI KUPATA MDAU AMBAYE YUKO TAYARI KUWEKEZA IN DETAIL PLEASE FOLLOW ME ON kinudy@gmail.com OR 0713 287020 or 0767287020
 
Back
Top Bottom