Naomba kulifahamu kwa undani Kanisa la Orthodox

Tatizo upo serious sana...sasa akama ukija kanisani kwetu tunapobatizwa na Mwanga wa tochi si ndo utadata kabisa..
 
Kalenda yao mwaka utakuwa na miezi 24 mpaka 30.
 
Constantinopole ndiyo iliyojitenga siyo Rome...
Kwa kuwa wao waliendelea kuamini kwenye misingi yao ya zamani na Catholic walifanya mabadiriko.
Basi Catholic ndo walijitenga na Orthodox kubakia kama kanisa la kwanza duniani
 
Kwa kuwa wao waliendelea kuamini kwenye misingi yao ya zamani na Catholic walifanya mabadiriko.
Basi Catholic ndo walijitenga na Orthodox kubakia kama kanisa la kwanza duniani
Wewe!! Hebu wacha kuropoka....Kasome tena Great Schism....

Halafu ni mabadiliko gani hayo unaongelea....? Unafahamu vitu ambavyo vilipelekea kanisa la Magharibi(Latin/catholi) kutengana na Kanisa la Mashariki(Orthodox)...?
 
Mi napita,maana sjasoma hiyo GREAT SCHISM!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…