Naomba kumfahamu GOAT katika upande wa Football

Sitaki kudanganya.nimemuonea you tube. Wewe je ulimshuhudia live?

YouTube hakuchezwi game yoyote inayomuhusu PELE. Only Short Clips ndiyo unaweza kuziona YouTube.

Sasa uliwezaji kusema PELE anapambwa na Media kwa Kuangalia Clips za YouTube?
 
cr7, messi consistency yao sio poa miaka 10+ ya maajabu japokua ntaweka na honarable mentions kama gaucho pele maradona figo zidane raul johan cruff
 
Mpaka pale Messi atakapowezesha Timu yake kuchukua UEFA na akaenda kucheza mpira nje ya barca akafanya maajabu ndipo atakapoweza kukaribia japo nusu ya Uwezo wa

CHRISTIANO RONALDO[emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
umemuona Pele akicheza mechi gani

Miafrika mingine inamkubari kwa sababu mweusi mwenzetu. ALakini kiuhalisia na ukweli uliodhahiri pele hagusi kwa Diego. Kwa Messi ndio kabisa hajafikia hata robo yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…