Naomba kumfahamu GOAT katika upande wa Football

Ulimuona akicheza?
Ah ah ah.. ndio mkuu..
Mbona yeye juzi juzi tu, kulkua na mastaa wa nyuma zaidi yake ila hawakumfikia yeye,km alfredo di stephano na mzee mwenzangu Ferenc Puskas,chanzo cha fifa puskas awards
 
Nimelipenda swali hili...japokua nasikia kipindi chao kina Pelle hawkua na sheria ya offside walikua wanatia tu kamba wanavyotaka.
Kama ni hvo basi hafai kupewa hyo sifa, mpak magoli ya offside, mara magoli yaliyofungwa kwa mkono yanaruhusiwa tuu, sa hv kuna VAR, wangecheza kipind hiki wasingefika popote hao akna pele,
 
Ulimuona akicheza?
Swali zuri sana, majority hawajamuona akicheza, ila ni kufata mkumbo tu kwa kuangalia clip za youtube ili na yeye aonekane anamjua Pele, lakn leo hii tukichukua clip za Messi za youtube na za Pele za youtube, Pele haoni ndani, ...... Enzi za Pele ilikuwa ni kukimbia kimbia tuu,
 


Kweli kabisa
 
Wadau wafuatiliji, wataalamu na wajuzi wa masuala ya Football kwa pamoja naomba kumjua mchezaji Bora wa Mpira wa miguu wa muda wote.

Ukitoa na statics itakua vizuri zaidi.
Maradona. Pele ni politics za fifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…