Naomba kumfahamu Shamim Mwasha

Lakini unajua side effects za madawa?? Vipi kuhusu familia ambazo (kama yeye mnasema hiyo biashara hakuwa anaifanya)/mumewe ameziharibu kwa hayo madawa??
Ni balaaa tupu kitaa...ukifikiria hilo tuu unatamani hata waishie huko huko, unga mbaya jamani
 
Ni balaaa tupu kitaa...ukifikiria hilo tuu unatamani hata waishie huko huko, unga mbaya jamani
Acha kabisa.. tuliokubwa na haya matatizo ya kuwaona marafiki wenye promising future wakipotea kwa sababu ya haya madawa wala hatuwaonei huruma kabisa.. Ni wauaji hawa watu..

Hao watoto Mungu atawalinda tu, Kama aliweza walinda waliozaliwa na kukulia mazingira magumu leo wamekuwa wabunge/mawaziri/Marais basi hata hao Mungu ataweka mkono wake. Ila hao wazazi, wacha wakasote jela hata miaka kumi tu
 
Kwahiyo mpunga unatoka hapo?

Mbona nasikia kaisha pokonywa kitambo jamaa alivyotoka segedansi?
Hate sijui bana, mtaani kila mtu na story yake. Kumbe jamaa alikuwa jela, sikujua
 
Serikali ya TANZANIA NAOMBA MUIACHE JF IDUMU DAIMA.
 
Story za Mwasha kweli kiboko Member wameomba kumjua Shamimi Mwasha angalau akiwa Bint Mrembo picha zake HAKUNA ALIYEJIBU
Je ni Binti wa Masama Mula kule Kilimanjaro kwa kina Mwasha ? au jina la mumewe wa kwanza?
 
Huyu resty kwanini hajakamatwa maana anauza kitimoto ila maisha hayaendani na kipato kuna Uzi alianzishiwa naona sukuhiz kawa mpole kapunguza show off
Yes kumbe na we umeona eeh...kapunguza zile video zake za Hyatt, Dubai, South Africa na ngorongoro vacations[emoji848]

Itakuwa katonywa afanye kisirisiri
 
Yes kumbe na we umeona eeh...kapunguza zile video zake za Hyatt, Dubai, South Africa na ngorongoro vacations[emoji848]

Itakuwa katonywa afanye kisirisiri
Huyu resty ndo hufanya wanao hustle wajione wajinga na wakosefu, kumbe yeye ni anauza Ganda, ila hata akipunguza dawa yake yachemka wallah, hafu sijui kwanini huwa hawaachi show off hawa waja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…