Naomba kumjua huyu mlimbwende

anasbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
5,065
Reaction score
9,360
Naomba kujua huyu ni nani? na je ni mtanzania? Kiufupi nataka habari zake huyu dada mana ndio kwanza nimembmui kwnye Instra. Anaonekanwa kama mashuhuri flani hivi ila sie wengine ni watu wakuchelewa tu. Kiufupi kanivuruga akili kwa hilo tako lake.
 
Wanaume wa Jf asilimia kubwa mnapenda sana wanawake wenye makalio makubwa ila akija shoga yenu mmoja kuponda wanawake wenye makalio...basi mashoga wooote mnajazana kwenye uzi wake kuwaponda wenye makalio wakati kutwa mko nasi Pm kuomba kutuona misambwanda yetu.

Mtapata tabu sana.
 
Mashoga tena?? Haya sasa matusi Madame B
 
Ndy ugonjwaaa wetu mama
Nahisi jf mafundi bito wako wengi

Ova
 
Madame B mi sijawahi kukuponda wewe eti na huo msambwanda wako wa kwenye avatar daaah sisemi Mimi mashallah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…