not found 404
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 322
- 170
Namkumbuka Agness, nmesoma nae elimu ya mcng ila baada ya hapo tulipita njia tofauti, na nmekuja tena kumuona ukubwani kwny harakati zake za siasa.... na ht hyo picha kapga magoti naukumbuka huo ukumbi wa MCC Musoma!
Alikuwa na uwezo wa wastani ila namkumbuka pia alikuwa kiranja nadhifu na alikuwa na kiherehere flan....nadhan ni tabia za kike tu!Alikuwaje shuleni darasani kifupi,
Alikuwa na uwezo wa kufikisha alama 50 au majanga
[emoji23] kejel zenye uzani wa juuAlikuwaje shuleni darasani kifupi,
Alikuwa na uwezo wa kufikisha alama 50 au majanga
Nilitaka nijue kwanza kama 50 ilikuwa inapatikana otherwise tutakuwa tunahangaika na 20%[emoji23] kejel zenye uzani wa juu
Hahhaha, kwakwel AMM ni moja ya wabunge wenye iq ya chini mno.Nilitaka nijue kwanza kama 50 ilikuwa inapatikana otherwise tutakuwa tunahangaika na 20%
Yah na kama tukijua alikuwa anafaulu vizuriHahhaha, kwakwel AMM ni moja ya wabunge wenye iq ya chini mno.
Hahha ivi kumbe kwe nye umashine hanaga mchezo.Yah na kama tukijua alikuwa anafaulu vizuri
Inabidi tutafute tatizo jingine
Huenda mwenyekiti anapakua pale si unajua tena anavyopenda minyeo na pale upo
Zinaharibu sanaHahha ivi kumbe kwe nye umashine hanaga mchezo.
Mbona yuko sirias sana?
Pia, unajua hizi sifa za kujua kusoma na kuandika zinaharb mjengo.
Hahhaja hamzid kwereZinaharibu sana
Anapenda mbunye yule asikwambie mtu
Fuatilia kwa makini hata hotuba zake anapenda kuongela mapenzi sana