Mimi nilitaka kupanga nyumba na ela nikatoa ya pango kwa miezi kadhaa lakini hatukuandikishana mkataba wala ku sign sehemu yoyote ile badae nikagair na kwenda kupanga sehem nyingine sasa nikaenda siku ya pili kudai nirudishiwe ela yangu majibu ninayopewa kwamba ela imeshaliwa na uyo mtu ataki kunirudishia ela yangu naomba mawazo ya kisheria mana nataka niende police
Sent using
Jamii Forums mobile app