David Mgeni Senior Member Joined Aug 4, 2020 Posts 104 Reaction score 138 Nov 3, 2023 #1 Najua hili ni jukwaa kubwa linakutanisha watu wengi naomba kupata connection ya mtu anaefanya kazi TRA Bagamoyo naomba anipm tafadhali.
Najua hili ni jukwaa kubwa linakutanisha watu wengi naomba kupata connection ya mtu anaefanya kazi TRA Bagamoyo naomba anipm tafadhali.
tripleec Senior Member Joined Oct 19, 2022 Posts 169 Reaction score 159 Nov 9, 2023 #2 David Mgeni said: Najua hili ni jukwaa kubwa linakutanisha watu wengi naomba kupata connection ya mtu anaefanya kazi TRA Bagamoyo naomba anipm tafadhali. Click to expand... Ndg David unadhani ni rahisi kupata connection hivi? Nakushauri labda kama unashida kiofisi wapigie 0800780078 au 0800750075 na ingine wanatangazaga ni 0800110016 wanaweza kukusaidia
David Mgeni said: Najua hili ni jukwaa kubwa linakutanisha watu wengi naomba kupata connection ya mtu anaefanya kazi TRA Bagamoyo naomba anipm tafadhali. Click to expand... Ndg David unadhani ni rahisi kupata connection hivi? Nakushauri labda kama unashida kiofisi wapigie 0800780078 au 0800750075 na ingine wanatangazaga ni 0800110016 wanaweza kukusaidia