Kwa mtazamo wangu naona kwenye Redio kunakuza jina, Japo unapata wateja sawa.Tuanze na wewe.
Ukisikia tangazo kwenye radio uwa unalisikiliza? Au ndio muda wa kufanya mambo mengine ili tangazo lipite?
Kwenye FB je?
Kwa budget ya 500k kwenye FB unaweza tangaza ata mwezi mzima. Ila kwenye Radio haifiki week.
Tushawahi tangaza taasisi yetu kwenye redio. Aisee response ilikua ndogo sana.Kwa mtazamo wangu naona kwenye Redio kunakuza jina, Japo unapata wateja sawa.
ila mtandaoni inapata wateja wengi zaidi. Kwa experience ndogo nilio nayo
kwanza inabidi ueleze aina ya biashara ili upate ushauri mzuriHabari wafanyabishara,
Naomba kupata Experience kidogo kwa wale waliowahi kufanya matangazo either ya redio ama mtandaoni.
Kipi Bora na kinaleta matokeo ya haraka, Kutangaza Biashara mtandaoni kwa kulipia ama Kutumia Local radio kutangaza biashara yako.
Chukua mfano una bajet ya Laki tano 500,000 kwa mwezi, Kipi kitaleta matokeo ya Haraka Yaani upate mauzo mengi ndani ya mwezi mmoja. Ulipie mtandao ukutangazie ama Ulipie Radio ukutangazie. ??
Asante kwa Maoni yako kaka,Achana na Redio.
Mtandaoni sio tu kwamba inakupa wateja wengi. vile vile itakuletes wafuasi ambao kesho utawahiji tena bila matangazo.
Alafu itakuonyesha lipi tangazo pendwa, wateja wako ni jinsia gani ns wanatokea wapi muda gani.
Utakuwa na taarifa sahihi ya mwenendo wa biashara yako N.Kβ¦.
Asante kwa Maoni yako kaka,Achana na Redio.
Mtandaoni sio tu kwamba inakupa wateja wengi. vile vile itakuletes wafuasi ambao kesho utawahiji tena bila matangazo.
Alafu itakuonyesha lipi tangazo pendwa, wateja wako ni jinsia gani ns wanatokea wapi muda gani.
Utakuwa na taarifa sahihi ya mwenendo wa biashara yako N.Kβ¦.
Asante sanaa kaka ubarikiweSwali lako lilitakiwa liambatane na uko wilaya gani na unafanya biashara gani hasa.
Advertising inatofautiana kulingana na sehemu ulipo na biashara unayofanya na target audience yako ni ipi ina age gani, jinsia gani, imani gani. Shule za dini unahisi kwanini zinabanana redio gani ile ya dini yenye matangazo nusu saa nzima.
Ukiwa unauza electronics mjini Dar es Salaam utalipia Instagram zaidi.
Ukiwa unamiliki chuo utatumia TV na redio, ukiwa unauza viwanja au real estate nzima utatumia hata magazeti ingawa siku hizi wengi hawasomi. Huwezi tumia magazeti kutangaza biashara ya electronics.
Ukiwa unatoa services kama clinic utatumia redio ya wilaya husika. Kwa bidhaa za wakulima na wafugaji kama wa ng'ombe na mbuzi utatumia redio na Facebook tu ila kwa wafugaji wa kuku utatumia Instagram.
Wateja wa Facebook njaa kali ila wanakuja faster alafu wanatapeliwa sana kwa tamaa za bei zisizowezekana, wa Instagram hawajilizi sana ila wanachelewa kuja. Kuna classmate aligraduate diploma ya mifugo akaenda Karagwe akalipia tangazo redioni kwa miezi kadhaa na hela ilikuwa ndogo. Wateja walimzidi uwezo.
Uzuri wa kijijini ukienda unanyoosha Kiswahili alafu unajiita dokta hata kama form four failure, na hiyo redio umenunua kipindi au unaitwa kama mtaalamu au mshauri wa hiyo sekta yako utakusanya kijiji. Ile mfano "tuko na mtaalamu wetu Dokta Mayunga" huyo Mayunga anaweza kuwa mhuni tu.
Hata mjini kina Dokta Ndondi na Grace Products mbona walikula hela zenu wenye vitambi na mapunye.
Hauko serious πππAsante kwa Maoni yako kaka,
To whom the message should be sent?.Habari wafanyabishara,
Naomba kupata Experience kidogo kwa wale waliowahi kufanya matangazo either ya redio ama mtandaoni.
Kipi Bora na kinaleta matokeo ya haraka, Kutangaza Biashara mtandaoni kwa kulipia ama Kutumia Local radio kutangaza biashara yako.
Chukua mfano una bajet ya Laki tano 500,000 kwa mwezi, Kipi kitaleta matokeo ya Haraka Yaani upate mauzo mengi ndani ya mwezi mmoja. Ulipie mtandao ukutangazie ama Ulipie Radio ukutangazie. ??
Huyu wateja wake ni watu gani? Mana hili ndo linatoa picha nzima ya marketing plan. Anauza nn?Kwa mtazamo wangu naona kwenye Redio kunakuza jina, Japo unapata wateja sawa.
ila mtandaoni inapata wateja wengi zaidi. Kwa experience ndogo nilio nayo
Huu uzi ulitakiwa uendelezwe sema kwa sababu haujadili matako na pombe basi wanaupuuzia.Huyu wateja wake ni watu gani? Mana hili ndo linatoa picha nzima ya marketing plan. Anauza nn?
Idadi kubwa ya watu kwasasa imekimbilia mtandaoni (Twiter, Insta, Facebook) huku utakutana na makundi mbalimbali ya watu ambao ndio wanunuzi wazuri wa bidhaa mbalimbali na kuna kuwa urahisi wa wateja kukufikia kupitia links na namba kwasababu mteja atahitaji kubonyeza tu ili kukufikia, tofauti na kwenye redio ambako atalazimikia kutafuta kalamu na karatasi au kukumbuka alichokisikia. Lakini pia, idadi ya watu wanaosikiliza redio sikuhizi ni ndogo sana, tena kundi kubwa ni la wazee.Kwa mtazamo wangu naona kwenye Redio kunakuza jina, Japo unapata wateja sawa.
ila mtandaoni inapata wateja wengi zaidi. Kwa experience ndogo nilio nayo
Asante sana kaka, Noted. Tangazo mtandaoni ukipatia kuliseti basi utachekelea tu matokeo yake maana wateja watakua wanamiminika tu, na bajeti inakua reasonable sana.Idadi kubwa ya watu kwasasa imekimbilia mtandaoni (Twiter, Insta, Facebook) huku utakutana na makundi mbalimbali ya watu ambao ndio wanunuzi wazuri wa bidhaa mbalimbali na kuna kuwa urahisi wa wateja kukufikia kupitia links na namba kwasababu mteja atahitaji kubonyeza tu ili kukufikia, tofauti na kwenye redio ambako atalazimikia kutafuta kalamu na karatasi au kukumbuka alichokisikia. Lakini pia, idadi ya watu wanaosikiliza redio sikuhizi ni ndogo sana, tena kundi kubwa ni la wazee.
Ungesema kwenye Tv ningekuelewa, tena inapendeza tangazo lako likawekwa wakati wa vipindi vya usiku kwasababu huu muda watu wengi ambao ndio watafutaji wenyewe (wenye pesa) wanakua majumbani, ila kwa hiyo budget yako ya kwa mwezi, haiwezi kutosha.
Kwa ushauri wangu, jikite kwenye mitando kwanza na uhakikisha matangazo yako yanakuwa na ubunifu.
Jf wengi wanavizia uzi za kugegedana tu. Na ni ngumu hata kupata connection au ujuzi mpya kama tulivyozoeaHuu uzi ulitakiwa uendelezwe sema kwa sababu haujadili matako na pombe basi wanaupuuzia.
Kuna somo watu wangepata na kuongeza maarifa