Naomba kupata maarifa kutoka kwa wazoefu na wabobezi wanaofanya biashara za nguo za mitumba hasa kwenye minada mikubwa

TzDee

Member
Joined
Jun 17, 2020
Posts
43
Reaction score
42
Natanguliza salamu wana JF.
Kichwa kinajieleza ningeomba kufaham kwa ufupi kwa wale wazoefu, wabobezi na wanaofanya pia biashara za nguo za mitumba hasa kwenye minada mikubwa shida yang napenda kufaham mambo machache kabla cjaingia rasmi kweny biashara hiyo;

1-Bei ya balo la nguo ya mtot kwa grade1&2

2-kwa kila nguo unapaswa uuze si chini ya kiasi gani ili uweze kupata faida na mzunguko wa biashara uwe wa haraka?

3-katika kila bishara kikubwa hua tunaangilia maslahi, je katika hiyo minada mikubwa kwa siku unaweza ukalaza sh ngp ikiwa unakua na mzigo mzuri?

4-napenda kufaham ni aina gani ya nguo za watot ambazo ziko na demand kubwa kwenye soko, mvulana msichana au mixer?

Ni hayo tu, kwa wale wenye uzoefu na hiyo biashara naombeni majib uwanja ni wenu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…