Kefaville
Member
- Mar 21, 2013
- 92
- 10
Habari wana Jamii forum,
Nina nyumba yangu na ina hati kabisa nahitaji kupata mkopo wa pesa ili nipate mtaji wa kuanzisha biashara yangu binafsi,
lakini nimeenda benk kibwa mbili NMB na CRDB kuuliza taratibu za kupata mkopo.
Lakini jamaa wananiambia mpaka niwe na biashara kabisa na nyumba yangu itakua kama Dhamana tu lakini siwezi kutumia nyumba kama nyumba ili kupata mkopo wa pesa, sasa nauliza sasa
KUNA BENKI IPI NAWEZA PATA MKOPO KWA KUTUMIA NYUMBA YANGU?