Naomba kupata rafiki DIASPORA kutoka MAREKANI au nchi zingine za ulaya

Airmanula

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
3,527
Reaction score
5,762
.
 
Attachments

  • IMG_20190514_100221.jpeg
    IMG_20190514_100221.jpeg
    23.8 KB · Views: 367
Kama heading inavyojieleza vizuri, ningependa kupata rafiki ambaye anaishi marekani ama nchi zingine za ulaya

Lengo na madhumuni ni kubadilishana mawazo pia kutaka kujua mengi ya nchi husika na mengineyo.

Kama hutopenda ID yako humu kufahamika unaweza tu kuja kwenye inbox yangu na tukaweza kuendelea kuchat.

Asante na karibuni DIASPORA.View attachment 1097201
Uko very serious?
 
Hili ni jukwaa la chit chat..jukwaa la mambo hayo lipo lina nafasi kibao na wigo mpana wa kuzungumza mambo hayo
dhidi ya tishio gani, maandamano ya wapinzani kudai fomu za uchaguzi?
 
Kama heading inavyojieleza vizuri, ningependa kupata rafiki ambaye anaishi marekani ama nchi zingine za ulaya

Lengo na madhumuni ni kubadilishana mawazo pia kutaka kujua mengi ya nchi husika na mengineyo.

Kama hutopenda ID yako humu kufahamika unaweza tu kuja kwenye inbox yangu na tukaweza kuendelea kuchat.

Asante na karibuni DIASPORA.View attachment 1097201
Ukimpata nijulishe na mm tuende wote tuwe tunafarijiana uko kwenye nchi za watu
 
Back
Top Bottom