Naomba kupata rafiki DIASPORA kutoka MAREKANI au nchi zingine za ulaya

Uko very serious?
 
Hili ni jukwaa la chit chat..jukwaa la mambo hayo lipo lina nafasi kibao na wigo mpana wa kuzungumza mambo hayo
dhidi ya tishio gani, maandamano ya wapinzani kudai fomu za uchaguzi?
 
Ukimpata nijulishe na mm tuende wote tuwe tunafarijiana uko kwenye nchi za watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…