Naomba kupata ufafanuzi juu ya matumizi ya maneno haya kwenye mkataba au sheria

GREGO

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
4,279
Reaction score
2,921
NAOMBA KUPATA UFAFANUZI

Kuna mafunzo nahudhuria ila kuna mabishano yamejitokeza kati matumizi ya neno "SHALL" na "MAY"
Sentensi kama
1. Government shall terminate the agreement .......
2. Government may terminate the agreement .......

Msaada tafadhali
 
"shall" inatumika kuonesha ulazima wa kufanikisha jambo linaloongelewa hata kama itatokea kikwazo cha aina gani, "may" inatumika kuonesha jambo linalozungumziwa linaweza kutekelezwa ama kutokutekelezwa kulingana na ridhaa ya muhusika, ni maoni yangu na mtazamo wangu
 


Upo sahihi mkuu
 
shall is a must,whether you like or not ila may ni uwezekano mkataba waweza sitishwa au la
 
Shukran mkuu
 
shall is a must,whether you like or not ila may ni uwezekano mkataba waweza sitishwa au la
Wakuu
Je, mwekezaji anaweza kutishika na neno "SHALL" kuliko kumwekea "MAY" , maana wengine walikua wanasema ni soft language ili mtu anaetaka kuwekeza/kusaini mkataba husika asiogope wengine. Je kuna ukweli kuhusu hili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…