Naomba kupata ufahamu wa kisheria

Naomba kupata ufahamu wa kisheria

koryo1952

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2023
Posts
948
Reaction score
1,627
Kazi ya Bunge ni kutunga sheria na hatimaye sheria iliyotungwa na Bunge hupelekwa kwa Mhe. Rais kuwekewa sahihi ili iwe sasa Sheria na ianze ktumika. Sasa ninauliza:-

Je, sheria ikitungwa na kuthibitishwa na Mhe. Rais na baadaye sheria hiyo ikaanza kutumika na kuonekana ina DOSARI.

Je, sheria hiyo inaweza kurudishwa tena Bungeni na kurekebishwa kwa ile DOSARI iliyoonekana kwenye sheria husika?.
 
Inawezekana, ila lazima atokee mbunge jasiri atoe hoja.
 
Back
Top Bottom