Naomba kupata uhalisia kuhusiana na picha hii, inapatikana wapi?

Hizo waya zinakuja baada ya kuwa stepped up au down (kama transformer inavyofanya zinakwenda wapi ? ) mbona kama kuna input na hakuna output (incoming / outgoing) hii huenda inapatikana kwenye computer ya mtu kwa hisani ya software
 
Yaani kwa picha ilivyo, ni kama vile huo umeme umepoozwa halafu wote umeingia humo ndani mkuu..
 
Niliwahi ona dodoma mtaa wa zunguni kwenye bar Moja Hivi ya inaitwa makula nadhani ilikuwa ya mjeda.

Hii bar Kuna ule waya unaushaka Hadi chini(ardhini) upo ndani ya Ile bar Tena nyaya2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…