Renatus Edward
Member
- Aug 2, 2011
- 50
- 55
Habari wakuu, naomba kupata uzoefu,nahitaji kununua cages kwa ajili ya kuku wa mayai. Je, cages bora na za kisasa ambazo hazishiki kutu, na zinazokaa muda mrefu na bei nafuu zinapatikana wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watafute wahindi flani walikuja kwenye Poultry show ya mwaka huu pale sabasaba. Wako vizuri wale jamaa , wao si wauzaji pekee bali ni wana ujuzi wa ziada.
Wanafunga cage zao kutokana na ukubwa wa banda lako. Cage zao zina distance kubwa kutoka ground level (yaani kuku haukizwi na harufu ya kinyesi chake).
Nimesahau business card yao somewhere. Ila ili uwapate Fanya uwacheki wale waandaaji wa ile poultry show.
Otherwise kuna wauzaji wa cage za kichina :
1.Titram (ingia Instagram utapata contact zao)
2.kuku project Tz. Hawa wapo pale bamaga.
Ila bei ya vifaa vingi vya ufugaji imechangamka kwa hapa bongo
Kama upo Dar kuna kaka mmoja yupo Kimara Suka huwa anasleta hizo cage toka China anaitwa Shitindi.Habari wakuu, naomba kupata uzoefu,nahitaji kununua cages kwa ajili ya kuku wa mayai. Je cages bora na za kisasa ambazo hazishiki kutu, na zinazokaa muda mrefu na bei nafuu zinapatikana wapi?
Nimesahau.Nashukur mkuu,hao waandaji wa poultry walikuwa ni wakinanani,ili niweze kuwaulizia hao wahindi.asante sana