Watafute wahindi flani walikuja kwenye Poultry show ya mwaka huu pale sabasaba. Wako vizuri wale jamaa , wao si wauzaji pekee bali ni wana ujuzi wa ziada.
Wanafunga cage zao kutokana na ukubwa wa banda lako. Cage zao zina distance kubwa kutoka ground level (yaani kuku haukizwi na harufu ya kinyesi chake).
Nimesahau business card yao somewhere. Ila ili uwapate Fanya uwacheki wale waandaaji wa ile poultry show.
Otherwise kuna wauzaji wa cage za kichina :
1.Titram (ingia Instagram utapata contact zao)
2.kuku project Tz. Hawa wapo pale bamaga.
Ila bei ya vifaa vingi vya ufugaji imechangamka kwa hapa bongo