Naomba kupata uzoefu wa gari aina ya Subaru Impreza

Naomba kupata uzoefu wa gari aina ya Subaru Impreza

AUDI2013

Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
9
Reaction score
1
Wakuu naomba kupata uzoefu wa Subaru Impreza:

1. Ubora wake

2. Changamoto zake

Mwenye uzoefu anisaidie tafadhali
 
Wakuu naomba kupata uzoefu wa Subaru Impreza:

1. Ubora wake

2. Changamoto zake

Mwenye uzoefu anisaidie tafadhali
Impreza ina first generation mpaka fourth generation…

Ww unaulizia impreza generation ya ngapi, body type ipi na ya mwaka gani…

Jifunze kuuliza swali kifasaha, ukiuliza kimasihara utajibiwa kimasihara hivyo hivyo
 
Wakuu naomba kupata uzoefu wa Subaru Impreza:

1. Ubora wake

2. Changamoto zake

Mwenye uzoefu anisaidie tafadhali
Tumia search box kutafuta nyuzi zinazohusu hayo magari. Zimeshajadiliwa sana humu. Ndio maana unaona hakuna hata mwenye interest ya kujadili tena.
 
Back
Top Bottom