A AUDI2013 Member Joined Jan 21, 2013 Posts 9 Reaction score 1 Nov 19, 2024 #1 Wakuu naomba kupata uzoefu wa Subaru Impreza: 1. Ubora wake 2. Changamoto zake Mwenye uzoefu anisaidie tafadhali
Wakuu naomba kupata uzoefu wa Subaru Impreza: 1. Ubora wake 2. Changamoto zake Mwenye uzoefu anisaidie tafadhali
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 10,786 Reaction score 35,916 Nov 19, 2024 #2 Kama unaishi mabondeni hiyo gari haikufai
politics observer JF-Expert Member Joined Jun 18, 2024 Posts 385 Reaction score 299 Nov 20, 2024 #3 AUDI2013 said: Wakuu naomba kupata uzoefu wa Subaru Impreza: 1. Ubora wake 2. Changamoto zake Mwenye uzoefu anisaidie tafadhali Click to expand... Impreza ina first generation mpaka fourth generation… Ww unaulizia impreza generation ya ngapi, body type ipi na ya mwaka gani… Jifunze kuuliza swali kifasaha, ukiuliza kimasihara utajibiwa kimasihara hivyo hivyo
AUDI2013 said: Wakuu naomba kupata uzoefu wa Subaru Impreza: 1. Ubora wake 2. Changamoto zake Mwenye uzoefu anisaidie tafadhali Click to expand... Impreza ina first generation mpaka fourth generation… Ww unaulizia impreza generation ya ngapi, body type ipi na ya mwaka gani… Jifunze kuuliza swali kifasaha, ukiuliza kimasihara utajibiwa kimasihara hivyo hivyo
Mtu-Pori JF-Expert Member Joined Nov 13, 2011 Posts 1,296 Reaction score 1,468 Nov 20, 2024 #4 AUDI2013 said: Wakuu naomba kupata uzoefu wa Subaru Impreza: 1. Ubora wake 2. Changamoto zake Mwenye uzoefu anisaidie tafadhali Click to expand... Tumia search box kutafuta nyuzi zinazohusu hayo magari. Zimeshajadiliwa sana humu. Ndio maana unaona hakuna hata mwenye interest ya kujadili tena.
AUDI2013 said: Wakuu naomba kupata uzoefu wa Subaru Impreza: 1. Ubora wake 2. Changamoto zake Mwenye uzoefu anisaidie tafadhali Click to expand... Tumia search box kutafuta nyuzi zinazohusu hayo magari. Zimeshajadiliwa sana humu. Ndio maana unaona hakuna hata mwenye interest ya kujadili tena.