Naomba kupewa elimu ya mabati na ubora wake

Fan boy

Member
Joined
Mar 6, 2022
Posts
24
Reaction score
14
Habari wanajamvi,

Kama kuna mtu anayejua ubora wa mabati na kampuni ipi inazalisha bati bora nomba kufahamishwa
 
Search mada za kuezeka humu, hio elimu ipo humu ya kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…