Kadege jr Member Joined Dec 14, 2020 Posts 5 Reaction score 3 Jun 10, 2021 #1 Habari za wakati huu. Kwa yoyote anaeweza kunipa elimu kidogo ya Soko la Hisa Dar es Salaam jinsi yakununua hisa na namna unavyo pata faida au hasara. ====== Unashauriwa kusoma>>> UCHUMI: Hisa ni nini? Maana ya soko la hisa na sababu za kupanda na kushuka kwa bei za hisa Uwekezaji katika soko la Hisa la Dar es salaam na Mifuko ya UTT
Habari za wakati huu. Kwa yoyote anaeweza kunipa elimu kidogo ya Soko la Hisa Dar es Salaam jinsi yakununua hisa na namna unavyo pata faida au hasara. ====== Unashauriwa kusoma>>> UCHUMI: Hisa ni nini? Maana ya soko la hisa na sababu za kupanda na kushuka kwa bei za hisa Uwekezaji katika soko la Hisa la Dar es salaam na Mifuko ya UTT
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 43,973 Reaction score 150,463 Jun 10, 2021 #2 Na mwenye kujua JATU PLC
Kadege jr Member Joined Dec 14, 2020 Posts 5 Reaction score 3 Jun 10, 2021 Thread starter #3 Habari za muda huu ndugu zang kwa yoyote mweny elimu kidgo kuhusu soko la hisa naomba tushare kidgo hii elimu
Habari za muda huu ndugu zang kwa yoyote mweny elimu kidgo kuhusu soko la hisa naomba tushare kidgo hii elimu
M mabakila1 JF-Expert Member Joined Dec 20, 2020 Posts 270 Reaction score 359 Jun 10, 2021 #4 Kadege jr said: Habar za muda huu ndugu zang kwa yoyote mweny elimu kidgo kuhusu soko la hisa naomba tushare kidgo hii elimu Click to expand... Mzee Google ipo au tafuta kuna thread humu kuhusu masoko ya hisa
Kadege jr said: Habar za muda huu ndugu zang kwa yoyote mweny elimu kidgo kuhusu soko la hisa naomba tushare kidgo hii elimu Click to expand... Mzee Google ipo au tafuta kuna thread humu kuhusu masoko ya hisa