Naomba kupewa ujuzi kuhusu mabaro ya mitumba

MKARASINGA

Senior Member
Joined
Jun 9, 2018
Posts
135
Reaction score
222
Habari wana jamvi

Poleni kwa shughuli nzito ya kujenga taifa

Naomba kujulishwa kuhusiana na mitumba kwa mnyumbuliko huu

Baro la mashati grade 1: a)bei
b)kg
c)piece zinakaa ngapi/
yaani idadi

Pia ya nchi gani ndo ina soko hapa bongo
 
Inategemea inatoka nchi Ganu
Pia inategemea unataka balo la kitu gani
Bei ni tofauti tofauti kuanzia laki 3 Kuendelea
 
Shati grade one
Jeans grade one
Suruali grade one
Sasa unapotaka kununua under ukaulize bei zinatofautiana. Kwa shati 100 bei ni kuanzia laki 6
ila bale zipo kwa uzito tofauti na bei ina range. Uwe na laki tatu kuendelea

ili ununie mzigo poa ununie bale kuanzia laki 6 kuendelea. Mara ya mwisho nilinunua laki 9 na kitambo sana...
 
JOSE MKARA kupitia agents nilishawah agiza sana bag kutoka Korea ila kitambo sana. Wengi pia walifunga mtumba baada ya Magu kuingia.
 
Shati grade one
Jeans grade one
Suruali grade one
Mabalo yapo aina tofauti,ujazo tofauti,na nchi tofauti,grade tofauti
Unataka za grade A nchi gani?
Unapenda za watu wanene ziwepo ama vimbaumbau na miilii midogo tu?
 
Habari wana jamvi

Poleni kwa shughuli nzito ya kujenga taifa

Naomba kujulishwa kuhusiana na mitumba kwa mnyumbuliko huu

Baro la mashati grade 1: a)bei
b)kg
c)piece zinakaa ngapi/
yaani idadi

Pia ya nchi gani ndo ina soko hapa bongo
Kitu pekee nachoweza kukuambia ni kuwa wengi wanaouza mabalo hapa Bongo huwa wanayafungua na kutoa nguo nzuri nzuri then kuyafunga tena na kuuza! Labda uagize we mwenyewe nje
 
Kitu pekee nachoweza kukuambia ni kuwa wengi wanaouza mabalo hapa Bongo huwa wanayafungua na kutoa nguo nzuri nzuri then kuyafunga tena na kuuza! Labda uagize we mwenyewe nje

Asante kwa taarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…