emanuel joseph
Member
- Jan 4, 2014
- 35
- 11
Habari wakuu, naomba kupewa ushauri na uzoefu wenu juu ya maisha ya uanafunzi kati ya UDOM na IFM katika suala zima za mazingira ya kuishi na gharama za maisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi mkuu???Nenda udom sema mazingira ya chuo mabovu
Acheni kupotosha watuNenda udom sema mazingira ya chuo mabovu
Sema huo ukweli wako basiAcheni kupotosha watu
Hamna chuo chenye mazingira mazuri Tanzania kama UDOM
UDOM pako poa SanaSema huo ukweli wako basi
mazingira ya UDOM ni mabovu? How?Nenda udom sema mazingira ya chuo mabovu