Naomba kupewa uzoefu wa maisha ya uanafunzi kati ya UDOM na IFM

Joined
Jan 4, 2014
Posts
35
Reaction score
11
Habari wakuu, naomba kupewa ushauri na uzoefu wenu juu ya maisha ya uanafunzi kati ya UDOM na IFM katika suala zima za mazingira ya kuishi na gharama za maisha
 
Kwa upande wa chuo cha kata, maisha yako poa tena yenye gharama ya kawaida sana kuhusu usafiri ndani ya chuo ni wahuhakika kapige shule kijana
 
umechaguliwa vyuo vyote??

unaishi wapi??

Usije Dar kama huna makazi kasome Dom utasev
 
Nenda udom sema mazingira ya chuo mabovu
 
Kwa gharama za maisha no doubts kwamba UDOM pana unafuu, kuanzia accessibility ya hostels itakayopunguza gharama za kupanga nje Though UD pana raha yake (kidding
 
ukweli ni kwamba UDOM kupata hostel ni uhakika wa asilimia 100, na kama hautaki hostel ni lazimia upigwe faini pamoja na kutakiwa kuandika barua ya maelezo kwanini hautaki kukaa hostel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…