Nina wazo la kulima alizeti katika wilaya ya Liwale baada ya kuona ufuta unasuasua kwenye suala la bei sokoni.
Naomba wenye uzoefu kuhusiana na mbegu inayohimili hali ya hewa katika wilaya hii anisaidie uzoefu wake tafadhali
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.