Mandison Senior Member Joined Mar 10, 2017 Posts 191 Reaction score 110 Aug 8, 2020 #1 Habari wana JF, Nina wazo la kulima alizeti katika wilaya ya Liwale baada ya kuona ufuta unasuasua kwenye suala la bei sokoni. Naomba wenye uzoefu kuhusiana na mbegu inayohimili hali ya hewa katika wilaya hii anisaidie uzoefu wake tafadhali
Habari wana JF, Nina wazo la kulima alizeti katika wilaya ya Liwale baada ya kuona ufuta unasuasua kwenye suala la bei sokoni. Naomba wenye uzoefu kuhusiana na mbegu inayohimili hali ya hewa katika wilaya hii anisaidie uzoefu wake tafadhali
Clark boots JF-Expert Member Joined Jun 5, 2017 Posts 6,770 Reaction score 6,202 Aug 9, 2020 #2 Karibu Lindi tutafune mijoba