Naomba kurejea tena Mwenyekiti

Naomba kurejea tena Mwenyekiti

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Habar zenu wakuu

Aisee baada yakujitoa kwenye chama cha CHAPUTA nimeamua kurejea tena katika chama changu cha CHAPUTA .Hii ni baada yakushindwa kujizuia hisia zangu nakuamua kurudi kunduni..

Naomba nimtake radhi mwenyekiti wangu wa CHAPUTA
kwa kujitoa kwenye chama .Naomba mnipokee tena.
Kwani sababu zakujitoa nililiazimishwa na Wife .. .

Naamin Mwenyekiti umenielewa kwani kujitoa CHAPUTA unabid uwe na moyo aswaa....
 
We si uliona dili kujitoa sasa unalia lia nini hapa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
hahaaaaa sisi wakongwe hua hatuachi ila hua tunapumzika tu ..demu akizingia unajibaka..unajiepusha na mizinga na ukimwi
 
Back
Top Bottom