Habar zenu wakuu
Aisee baada yakujitoa kwenye chama cha CHAPUTA nimeamua kurejea tena katika chama changu cha CHAPUTA .Hii ni baada yakushindwa kujizuia hisia zangu nakuamua kurudi kunduni..
Naomba nimtake radhi mwenyekiti wangu wa CHAPUTA
kwa kujitoa kwenye chama .Naomba mnipokee tena.
Kwani sababu zakujitoa nililiazimishwa na Wife .. .
Naamin Mwenyekiti umenielewa kwani kujitoa CHAPUTA unabid uwe na moyo aswaa....