NOT ENOUGH
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 596
- 307
Elimu yangu ni form four niliyoipata Shule ya Jumuiya Tanga (Shule ya Jumuiya ya wazazi) na kufaulu daraja la tatu points 23 mwaka 1993. Tokea hapo nimefanya kazi na wazungu mpaka nikafikia level ya umeneja. Sikuwahi kuongeza elimu kabisa.
Kama miaka tisa sasa nina kampuni yangu ambayo mimi ndio Managing Director but I am lucking professional qualifications na pia kutokuwa na degree - Its a very big weakness asikwambie mtu. Huwa napata shida sana kwenye kuandika barua kwani naweza nikatumia mpaka siku tatu tena kwa nguvu kubwa ya dictionary na ma search engine.
Sasa naomba wenye kujuwa wasome hiyo barua niliyo attach then wanisahihishe nijue nimefikia level gani?
Asante sana.