Shukrani kiongozi kwa mchango wakoNina nyumba kama hiyo tofauti ni kidogo sana
1.idadi ya tofali kuanzia msingi mpaka boma 2500 za inch 5 na 6
2.idadi ya trip za mchanga kufyatulia tofali 20 ila sikushauri ufyatue tofali, peleleza sehemu nzuri ukanunue...
Fact asante bosskwa style ya ramani yako hpo kwenye kitchen fanya iwe dinning ndugu! au badili mlango wa kitchen usiwe karibu na huo wa verandah
Yeah. Nilitaka kumwambia hivyo hivyo. Kitchen afanye Dinning then verandah ya kitchen ndio iwe kitchen.kwa style ya ramani yako hpo kwenye kitchen fanya iwe dinning ndugu! au badili mlango wa kitchen usiwe karibu na huo wa verandah
Nina nyumba kama hiyo tofauti ni kidogo sana
1.idadi ya tofali kuanzia msingi mpaka boma 2500 za inch 5 na 6...
Jumla kwa haraka hapo aandae m20 ili ajenge na ahamie, nimejumlisha na madirisha, milango na shimo la choo kwenye hii hesabu yanguJumla inacost shngapi?
Halafu apo kwenye kufyatua tofali, ni heri afyatue mwenyewe yanakua na resho nzuli ukilinganisha na yakununua.
Daaa parefuJumla kwa haraka hapo aandae m20 ili ajenge na ahamie, nimejumlisha na madirisha, milango na shimo la choo kwenye hii hesabu yangu
siyo parefu kama utaamua kuanza na ulichonacho, mimi nilikuwa na milioni 3 nikaanza, nimepiga hesabu juzi nimegundua nimeshatumia milioni 30 na zaidi, ni suala la kuanza na ulichonacho tu mkuu, ukiangalia hesabu kubwa utashindwa kuanzaDaaa parefu
Shukrani kaka kwa kunipa moyosiyo parefu kama utaamua kuanza na ulichonacho, mimi nilikuwa na milioni 3 nikaanza, nimepiga hesabu juzi nimegundua nimeshatumia milioni 30 na zaidi, ni suala la kuanza na ulichonacho tu mkuu, ukiangalia hesabu kubwa utashindwa kuanza