Naomba kusaidiwa design ya hii nyumba

Nakuanfalia mchoro wa Sections,
Front view, rear view, left and right view
Nakupatia na cost estimations
Nakupatia na mchoro wa karo la choo yaani septic tanks na soak away pit
Nakutumia na video ya jinsi nyumba yako itakavyokuwa inaonekana....

Sema utanipatia shingapi??
 
Natumae mleta mada uliapata muongozo...
 
Karibu nile_house_designs kwa huduma za michoro, boq na ushauri.

Call/WhatsApp 0715477041

Pia waweza pitia hii link kuona baadhi ya kazi zetu.

 
Weka Slope Paa Mbili Utanishukuru Baadaye
Makazi Ya Kudumu Yapo Mbinguni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…