Naomba kusaidiwa kuelewa kuhusu gari aina ya RV4 J old model utumiaji wa mafuta liter per kilometre

Naomba kusaidiwa kuelewa kuhusu gari aina ya RV4 J old model utumiaji wa mafuta liter per kilometre

Na hapo ikiwa mpya kama ishaota yale matege ataikimbia. Gari za hovyo sana zilizopokelewa kwa shangwe na watanganyika.
Haina matege boss ilikuwa ya muhindi,kaitunza sana,toka niichukue nainjoi sana, system ya umeme bado makini sana
 
[emoji1][emoji1] K-legs Ni ugonjwa wake lkn Ni Gari flani inayoendana na mazingira ya kibongo.
Shukrani mkuu kwa kunitia moyo,muhimu service,matunzo na driving procedures to be followed,eti mazee!
 
Yaani lita moja unaweza kutembea kilometres 8 mpaka kumi kutegemeana na hali ya engine na uendeshaji wako
Ila hizi miss tz naona ziko vzuri, kuna moja ilikuwa ina buruzwa huko mbeya vijijin hadi unaionea hurumia ila sikuona ikiota matege, na kwenye mafuta ziko vzuri

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom