Naomba kusaidiwa namna ya kusajili Business Name BRELA online

Naomba kusaidiwa namna ya kusajili Business Name BRELA online

olym

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2019
Posts
265
Reaction score
450
Habari ya leo wana JF,

Tukiwa tunaendelea na mapambano dhidi ya korona.

Naomba msaada jinsi ya kusajili jina la biashara kwenye online system ya brella,

Tatizo, hainipeleki mbele kwenye kujaza details, nikiclick palipoandikwa register ORS account.

Inaleta picha tu ambayo haina muongozo zaidi kama picha nikiyoweka.

Ntashukuru kwa maelezo yeno wakuu.
IMG-20200404-WA0012.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kulikua na Uzi humu ndani kuhusu BRELA kuwa online system yao ni mbovu
 
Back
Top Bottom