olym JF-Expert Member Joined Jul 25, 2019 Posts 265 Reaction score 450 Apr 4, 2020 #1 Habari ya leo wana JF, Tukiwa tunaendelea na mapambano dhidi ya korona. Naomba msaada jinsi ya kusajili jina la biashara kwenye online system ya brella, Tatizo, hainipeleki mbele kwenye kujaza details, nikiclick palipoandikwa register ORS account. Inaleta picha tu ambayo haina muongozo zaidi kama picha nikiyoweka. Ntashukuru kwa maelezo yeno wakuu. Sent using Jamii Forums mobile app
Habari ya leo wana JF, Tukiwa tunaendelea na mapambano dhidi ya korona. Naomba msaada jinsi ya kusajili jina la biashara kwenye online system ya brella, Tatizo, hainipeleki mbele kwenye kujaza details, nikiclick palipoandikwa register ORS account. Inaleta picha tu ambayo haina muongozo zaidi kama picha nikiyoweka. Ntashukuru kwa maelezo yeno wakuu. Sent using Jamii Forums mobile app
T TensorFlow JF-Expert Member Joined Feb 11, 2020 Posts 993 Reaction score 1,286 Apr 4, 2020 #2 Nataka pia kujua process.
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 59,045 Reaction score 94,974 Apr 4, 2020 #3 Kulikua na Uzi humu ndani kuhusu BRELA kuwa online system yao ni mbovu