Naomba kusaidiwa namna ya kutumia Outlook kusoma e-mails zangu

Naomba kusaidiwa namna ya kutumia Outlook kusoma e-mails zangu

Expedito Mduda

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2009
Posts
542
Reaction score
264
Jamani naomba mnisaidie namana ya configure outlook ili iwe na uwezo wa kupakua e-mails zangu na niwe nasoma hapo. AU niseme naomba kufundishwa NAMNA ya kutumia outlook
 
.....sidhani kama nimeelewa tatizo lako.....may be sababu si mtu ya IT.....!ngoja IT GURUs wakuibukie......!

BWT: Hujambo kijana wa MASIKA aka UNOKA?
 
Back
Top Bottom