Habarini wakuu,
Nina E ya kemia na C ya biology A level natafuta chuo cha serikali cha afya. Please, naomba kusaidiwa:
1. Vyuo vipi hapa nchini vinanifaa?
2. Ada ya vyuo vya serikali ni sh.ngapi kwa mwaka?
Please, anayejua hasa vyuo vya bei rahisi anisaidie na mwenzenu nikasome. Nimejikusanya kusanya vihela kidogo nataka kwenda chuo. Asanteni. O level nina matokeo mazuri sana!
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
nenda nacte pale kwa maelezo kamili