Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Wakuu habari .
Naomba kusaidiwa upande wa calculation za Excel.
Nikiwa nimepanga majina ya wanafunzi, nimeweka marks za kila somo, jumla, wastani, Daraja la ufaulu na , nafasi aliyoshika kila mwanafunzi.
Je nikitaka majina yajiapange kulingana na ufaulu wao nafanyaje?
Yaani Kama John kwenye yupo Cell za chini lakin kimatokeo ndio ameongoza , sasa ili jina lake ndio liwe juu nafanyaje?