sexologist
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 2,276
- 976
Natanguliza heshimu,
Mara zote huwa naamini katika intelligency ya baadhi ya wana JF. Ushauri tunaopata hapa umetusaidia wengi kwa namna moja au nyingine.
Ndg zangu, leo naomba nishauriwe namna ya kutambua maziwa yaliyochakachuliwa, yaani yenye maji. Maana mengine sio rahisi kuyagundua. Kama kuna kifaa maalum au njia ya asili ya uhakika..
Pili, namna gani naweza kuhifadhi maziwa kwa muda mrefu yasigande pasipo kuyachemsha?
Shukurani zinatangulizwa wakuu!
Japo nimechelewa saana kukupa ushauri wangu lakini naimani utakufikia.Kwanza Cha msingi tambua kuwa ng'ombe wote wanatofautiana, hawafanani Kama vile tunavyoelewa, huo ndio ukweli. Hivyo hata maziwa yao yanatofauti...Natanguliza heshimu,